Mchango wa vyombo vya habari kubadili hali ya kiuchumi na kisiasa | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.06.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

IDHAA YA KISWAHILI

Mchango wa vyombo vya habari kubadili hali ya kiuchumi na kisiasa

Uhuru wa vyombo vya habari, changamoto za waandishi habari na kutanuka kwa teknolojia katika sekta hii ni mambo yaliojadiliwa katika kongamano la Kimataifa la vyombo vya habari linalofanyika mjini Bonn, Ujerumani.

Sikiliza sauti 03:34

Sikiliza mahojiano baina ya Amina Abubakar na mtaalamu anayetokea nchini Tanzania, Balthazar Kitundu, ambaye kwanza ameanza kuelezea vyombo vya habari vina mchango gani kuibadili hali linapokuja suala la kiuchumi na hata kupata mafanikio ya kisiasa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com