Mbona Ufaransa imeshambuliwa tena? | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mbona Ufaransa imeshambuliwa tena?

Kundi la IS limedai kuhusika na mashambulizi ya Paris yaliyowauwa watu 130 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 300. Serikali ya Ufaransa imetangaza hali ya hatari na siku tatu ya maombolezo

Sikiliza sauti 04:16

Mahojiano kati ya Bruce Amani na mchambuzi wa masuala ya usalama Mwenda Mbijiwe kutoka Nairobi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com