1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo kuhusu mtaala mpya wa elimu Kenya

Wakio Mbogho MMT18 Julai 2019

Katika makala yetu leo, tunaangazia mchakato wa mazungumzo miongoni mwa wadau wa elimu Kenya kujadili haswa kizungumkuti kuhusu mtaala mpya wa elimu nchini humo. Wakio Mbogo na mengi zaidi

https://p.dw.com/p/3MH2M