Matumizi ya nishati mbadala nchini Rwanda | Afrika yasonga mbele | DW | 08.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Afrika yasonga mbele

Matumizi ya nishati mbadala nchini Rwanda

Kundi la wanawake wanne nchini Rwanda limewasha umeme utokanao na nishati ya jua kwenye kijiji kizima mashariki ya nchi hiyo. Jiunge na Sylivanus Karemera kusikiliza makala ya 'Wanawake na Maendeleo'.

Sikiliza sauti 09:45

Wanawake wanyarwanda waliowasha umeme wa jua kijijini kwao

Kusikiliza makala ya Wanawake bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com