Matokeo ya sensa ya wanyama pori Kenya | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matokeo ya sensa ya wanyama pori Kenya

Idadi ya tembo nchini Kenya imeongezeka lakini simba wanapungua huku duma wakiwa katika hatari ya kuangamia. Kwenye orodha ya mataifa ya Afrika yaliyo na ndovu wengi zaidi, Kenya ni ya nne baada ya Zimbabwe, Botswana na Tanzania kuipiku. Kwenye makala ya Mtu na Mazingira, Thelma Mwadzaya anaangazia sensa ya kwanza ya kitaifa kuwahi kufanywa ya wanyama nchini Kenya.

Sikiliza sauti 09:46