1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matatu zaruhusiwa kujaza tena Kenya licha ya corona

9 Agosti 2021

Serikali nchini Kenya imelegeza masharti kwa huduma za usafiri wa magari ya umma, maarufu kama 'matatu' tangu ilipouzuiwa mwaka 2020 kwa kuanzisha hatua kali za kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona. Sikiliza ripoti ya Mussa Naviye kutoka Kisumu.

https://p.dw.com/p/3ykF9