1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana:24.12.2017

24 Desemba 2017

Korea Kaskazini yashutumu vikwazo vipya vya Umoja wa Mataifa dhidi yake. Venezuela yawatimua wanadiplomasia wa Brazil na Canada kutoka nchini mwake. Serikali ya Sudan Kusini na makundi ya waasi wafikia makubaliano ya kusitisha mapigano na Rais wa Ujerumani awapa wananchi wake matumaini katika hotuba yake ya Krismasi.

https://p.dw.com/p/2ptXg