1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 27.06.2020

27 Juni 2020

Kansela Angela Merkel asema ni lazima kuwepo dhamira ya pande zote kufanikisha Brexit. Marekani yakabiliwa na tatizo kubwa la maambukizi ya corona. Misri, Ethiopia na Sudan zakubaliana kurudi kwenye mazungumzo kuhusu mto Nile.

https://p.dw.com/p/3eQdq