1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana: 27.04.2019

Zainab Aziz
27 Aprili 2019

Rais wa China XI Jinping atoa wito kwa nchi zaidi kujiunga na mpango wake wa ujenzi wa miundombinu. Watu15 wauawa baada ya majeshi kuvamia maficho ya magaidi nchini Sri Lanka. Ujerumani yasitisha kuyashughulikia maombi ya wakimbizi kutoka Syria.

https://p.dw.com/p/3HYXk