SiasaMatangazo ya Mchana: 17.02.2019To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaZainab Aziz17.02.201917 Februari 2019Kansela Angela Merkel atetea mkata uliofikiwa na Iran. Ndege za kijeshi za Marekani zatua karibu na mpaka wa Venezuela na kuteremsha shehena za misaada. Miili 24 yaopolewa kwenye migodi miwili iliyofurika nchini Zimbabwe. https://p.dw.com/p/3DX5TMatangazo