1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 09.06.2018

9 Juni 2018

Viongozi wa kundi la nchi saba zilizoendelea kiviwanda duniani maarufu kama G7 wanajaribu kuunda tamko la pamoja baada ya mkutano wao wa nchini Canada. Baraza la Usalama lateua wanachama watano kwa kipindi cha miaka miwili. Wapalestina waugeukia Umoja wa Mataifa kutafuta ulinzi wa raia wake.

https://p.dw.com/p/2zCpS