1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana: 08.08.2020

8 Agosti 2020

Rais wa Marekani Donald Trump kushiriki kwenye mkutano wa kuisaidia Lebanon. Idadi ya maambukizi ya corona yapindukia milioni moja barani Africa. Wanajeshi wasiopungua 8 wauawa katika shambulio Mogadishu wengine zaidi wajeruhiwa.

https://p.dw.com/p/3gf6s