Matangazo ya Mchana 03.06.2018 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 03.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya Mchana 03.06.2018

Hasira yagubika kwenye mkutano wa mawaziri wa G7 huko nchini Kanada. China yaionya Marekani kuhusu hatua yake ya kuweka vikwazo vya kibiashsara. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema ukanda wa sarafu ya Euro haupaswi kugeuzwa kuwa umoja wa kushirikiana madeni.

Sikiliza sauti 59:59