1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 27.06.2020

27 Juni 2020

Umoja wa Mataifa watimiza miaka 75 tangu kuundwa kwake. Chama tawala Malawi chalia faulo uchaguzi wa rais, chataka kura ya tatu. Ethiopia, Misri na Sudan zakubali kuahirishwa ujazaji wa bwawa la Ethiopia katika mvutano wa mto Nile.

https://p.dw.com/p/3eRIe