1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 10.11.2019

Yusra Buwayhid
10 Novemba 2019

Rais wa Bolivia Evo Morales aitisha uchaguzi mpya. Idadi ya wapiga kura yapungua katika uchaguzi wa bunge Uhispania. Na, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas aitetea nafasi ya Ulaya katika jumuiya ya kujihami NATO.

https://p.dw.com/p/3Snfl