1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 06.04.2019

Yusra Buwayhid
6 Aprili 2019

Vikosi vya jenerali muasi wa Libya Khalifa Haftar vyadai kudhibiti uwanja wa ndege wa Tripoli. Mfalme wa Jordan atoa wito wa uwekezaji Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini katika Kongamano la Uchumi Duniani. Na, Maandamano yafikia makao makuu ya jeshi huko Sudan.

https://p.dw.com/p/3GPCL