1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 31.10.2016

Sylvia Mwehozi
31 Oktoba 2016

Tuliyo nayo; Umoja wa Mataifa umeonya kwamba mashambulizi ya mabomu yanayofanywa na waasi nchini Syria yanaweza kuhesabiwa kuwa uhalifu wa kivita. Mazungumzo ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela baina ya serikali na viongozi wa upinzani yameanza na uchaguzi wa rais nchini Moldovia utapaswa kufanyika kwa raundi ya pili hapo novemba 13.

https://p.dw.com/p/2Ruyq