1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 28.05.2022

28 Mei 2022

Viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika leo kwenye mkutano wao wa kilele watajadili masuala ya ugaidi na mabadiliko yasiyo ya kikatiba barani Afrika. Urusi iko mbioni kupitisha sheria mpya itakayoruhusu kuchukua udhibiti wa biashara za ndani za makampuni ya magharibi. C hina na Urusi zatoa mwito wa kulegezwa kwa vikwazo ili kuzuia mateso kwa watu wa Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/4ByoQ