Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3nE8B
Licha Serikali ya Burundi kufunga mipaka yake ya majini na nchi kavu tangu Januari 11 kwa ajili ya kujihadhari na virusi vya Corona, raia wa maeneo hayo wanaendelea na shughuli zao bila kuchukua tahadhari za kujikinga.
Moja kwa moja kutoka nyumbani kwa mabingwa wa soka wa dunia, Ligi ya Ujerumani, Bundesliga, inakujia sasa nyumbani kwako barani Afrika kupitia radio Deutsche Welle na washirika wake.
Chagua kilicho sahihi, ungana na mwanamuziki wa Namibia EES na "Asilima 77 Vijana Mubashara" kutoa wito wa kukomesha vurugu za kijinsia! Tutumie vidio yako ya densi kutoa ujumbe wako na ushinde zawadi kwa ushiriki wako.
Orodha ya vipindi vya Idhaa ya Kiswahili ya DW.