1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 24.11.2019

TSA / S08S24 Novemba 2019

Wapiga kura mjini Hong Kong leo, wanapiga kura kuchagua baraza la madiwani. Wabunge wa Bolivia wameidhinisha hatua za kufanyika uchaguzi mpya wa rais, ambao hautamhusisha rais aliyeondolewa madarakani Evo Morales.. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, ametaka kukomeshwa kwa silaha za nyuklia.

https://p.dw.com/p/3TcOc