Matangazo ya Asubuhi: 24.10.2020 | Media Center | DW | 24.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Asubuhi: 24.10.2020

Uchaguzi wakaribia nchini Tanzania. Wagombea wamo katikakampeni za kutafuta uungwaji mkono. Sudan imekuwa nchi ya tatu ya kiarabu kukubali kusawazisha uhusiano wake na Israel. Athari za janga la virusi vya corona zapewa kipaumbele katika mikutano mbalimbali ya kimataifa ya mwaka huu wa 2020.

Sikiliza sauti 51:59