Matangazo ya Asubuhi 21.07.2019 | Media Center | DW | 21.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Asubuhi 21.07.2019

Mashirika ya ndege ya British Airways la Uingereza na Lufthansa la Ujerumani yamesitisha ghafla safari za kwenda Cairo, nchini Misri. Maelfu ya raia wa Uingereza waandamana jijini London kupinga hatua ya Uingereza kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya ama Brexit.Hatimaye wahanga 86 waliouawa wakati wa vita vya mwaka 1992 nchini Bosnia wazikwa.

Sikiliza sauti 51:59