1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 09.01.2021

9 Januari 2021

Rais wa mahakama ya Afrika inayoshughulika na haki za binadamu yenye makao yake makuu Arusha nchini Tanzania azitaka nchi za Afrika kudumisha demokrasia na kulinda haki za binadamu. Je! Waziri Mkuu wa Isarael Benjamin Netanyahu, atanusurika kwenye uchaguzi ujao. Vurugu za wafuasi wa Rais Donald Trump zimeushtua ulimwengu.

https://p.dw.com/p/3niMk