1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 06.04.2019

6 Aprili 2019

Robo karne imepita tangu yalipotokea mauaji ya kikatili ya halaiki nchini Rwanda. Hivi sasa nchi hiyo ndogo ya mashariki mwa Afrika inasifiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa utulivu wake. Ripoti mpya kuhusu hali ya madeni duniani yaonyesha kuwa deni katika baadhi ya nchi duniani limekuwa kubwa mno, na halitarajiwi kupungua hivi karibuni.

https://p.dw.com/p/3GNxW