1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 01.07.2018

1 Julai 2018

Watu wa Mexico leo wanapiga kura ya kumchagua rais na bunge jipya. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel afikia makubaliano na nchi kadhaa kuhusu mpango wa wahamiaji. Viongozi wa Umoja wa Afrika wakutana mjini Nouakchott, Mauritania kuanzia leo Jumapili kwa siku mbili kujadili biashara huru.

https://p.dw.com/p/30cIT