Mashindano ya urembo ya ngamia Saudia | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mashindano ya urembo ya ngamia Saudia

Kote duniani kumezoeleka mashindano ya urembo ya binadamu, ila amini usiamini nchini Saudi Arabia, kwa sasa kunafanyika mashindano ya urembo ya mnyama anayependwa sana nchini humo, ngamia. Tazama Vidio.

Tazama vidio 01:06
Sasa moja kwa moja
dakika (0)