1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano makali yamezuka mjini Kabul

21 Agosti 2018

Jeshi la Afghanistan linakabiliana vikali na wanamgambo mjini Kabul, muda mfupi baada ya kufanyika mashambulizi ya maroketi kadhaa kwa mfulululizo.

https://p.dw.com/p/33Suy