1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni Mbele ya Meza ya Duara: Safari ya rais William Ruto, anapotimiza mwaka mmoja madarakani

Rashid Chilumba / MMT15 Septemba 2023

Rais William Ruto wa Kenya ametimiza mwaka mmoja madarakani baada ya kupata ushindi mwembamba dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake mkubwa Raila Odinga. Safari yake bado si nyepesi kutokana na changamoto kadha wa kadha kuanzia tangu kupingwa kwa ushindi wake hadi maandamano ya kila mara ya upinzani. Rashid Chilumba amewakaribisha wafuatiliaji kujadili mwaka huu mmoja wa Ruto.

https://p.dw.com/p/4WOBP