Maoni: Mapinduzi ya kijeshi na mustakbali wa demokrasia Afrika | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Maoni: Mapinduzi ya kijeshi na mustakbali wa demokrasia Afrika

Je, jeshi linaanza kurejea kwenye hatamu tena? Je, kwa kuzingatia linavyopokelewa na wananchi na viongozi wengine wa kisiasa, kiraia na kidini katika eneo la Afrika Magharibi, huu unaanza kuwa utaratibu unaokubalika? Na ni upi wajibu wa taasisi za kikanda na kimataifa kwenye kuyalinda mafanikio ya kidemokrasia barani Afrika? Hayo ndiyo mada kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara na Mohammed Khelef.

Sikiliza sauti 40:35