Mandozi mwanga wa soka wa Tanzania | Media Center | DW | 18.10.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mandozi mwanga wa soka wa Tanzania

Katika kipindi cha Karibuni (20.10.2018) utamsikia mkufunzi wa mafunzo ya ukocha, Armando Phill, baada ya kupata mafunzo yake mjini Koblenz hapa Ujerumani, siku ya mashujaa ya Kenya na katika safu ya je umeipata hiyo, ipo habari za wanawake walio katika kipindi cha kwenda hedhi kuzuiwa kushiriki ibada nchini India.

Sikiliza sauti 30:07