Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa mfungo wa Ramadhani | Media Center | DW | 03.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa mfungo wa Ramadhani

Ni muhimu sana msikilizaji kudumisha viwango vya maji mwilini maana ni moja ya mambo yanayokufanya uwe na afya njema siku zote na hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Kuzingatia lishe bora pia ni kitu muhimu, Je Ni vyakula gani vinavyopaswa kuliwa wakati huu? Ungana na Amina Abubakar katika makala ya Afya yako

Sikiliza sauti 09:45