1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ramadhan

Ramadhan ndiyo mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiislamu na Waislamu duniani kote huutukuza mwezi huo kwa kufunga na kufanya ibada nyingine. Ni mwezi ambao Quran tukufu iliteremshwa.

Neno Ramadhan limetoholewa kutoka lugha ya Kiarabu ambalo asili yake ni neno ramida au ar-ramad, ambalo linamaanisha joto kali au ukavu. Wakati kufunga kuanzia alfajiri hadi machweo ni wajibu kwa Waislamu waliofikia umri, wagonjwa, wasafiri, wazee, wajawazito, wanaonyonyesha au wagonjwa wa kisukari na wanawake walioko katika hedhi, wanaondolewa wajibu huo. Hapa utapata mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu mwezi wa Ramadhani.

Onesha makala zaidi