1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Malawi

Malawi ni taifa lililozungukwa na nchi kavu lililoko kusini-mashariki mwa Afrika. Linapakana na Tanzania, Zambia na Msumbiji. Malawi inatenganishwa na Tanzania na Msumbiji na ziwa Malawi.

Malawi ni moja ya nchi ndogo zaidi barani Afrika na ziwa Malawi linachukuwa karibu theluthi moja ya eneo lote la nchi hiyo. Mji wake mkuu ni Lilongwe, mji wa pili kwa ukubwa ni Blantyre na wa tatu ni Mzuzu.Jina Malawi linatokana na Maravi, jina la zamani la watu wa jamii ya Nyanja waliokalia eneo hilo. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za DW kuhusu Malawi.

Onesha makala zaidi