Malala Yousafzai arejea nyumbani Pakistan | Anza | DW | 29.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Malala Yousafzai arejea nyumbani Pakistan

Unamkumbuka Malala? Binti wa Kipakistan aliyeponea chupuchupu kuuawa na Wataliban kwa sababu alitetea elimu ya wasichana. Leo hii amerudi nyumbani kwa mara ya kwanza, baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka sita, na kupokelewa kama shujaa.

Tazama vidio 01:13