Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Katika makala ya Sema Uvume utasikia juu ya App inayofahamika kama ´Mobile Afya´ ambayo inakusudia kutoa taarifa za kiafya katika lugha mbalimbali za kiafrika kwa kuanza na lugha ya Kiswahili. Kwa hayo na mengi mengine jiunge na Slyvia Mwehozi