1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na Haki

Majaji Kenya kupunguza mrundiko wa kesi

20 Agosti 2018

Kongamano la mahakimu jijini Mombasa linatafuta mbinu za kupunguza idadi kubwa ya kesi zilizowasilishwa mahakamani bila kushughulikiwa. Kaulimbiu mwaka huu ni: "Kuboresha huduma ili kutenda haki kwa wakati ufaao."

https://p.dw.com/p/33QlH
Mahakama Kuu Kenya
Picha: Getty Images/AFP/S. Maina

J3 REPORT KONGAMANO LA MAJAJI MOMBASA - MP3-Stereo