1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha na VVU

Lilian Mtono
24 Septemba 2018

Sikiliza makala haya ya wanawake, ambayo leo yanamwangazia mama mmoja huko Kenya aliyegundulika kuwa na VVU akiwa na miaka 16, lakini sasa ana familia bora kabisa na watoto wenye afya njema. Ni ushuhuda wa kusisimua. Sikiliza makala hii, iliyoandaliwa na Sophia Chenyezi.

https://p.dw.com/p/35OeH