Mahakama ya juu Kenya yaombwa kutenda haki | Matukio ya Afrika | DW | 22.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

uchaguzi mkuu kenya

Mahakama ya juu Kenya yaombwa kutenda haki

Viongozi wa muungano mkuu wa upinzani NASA wametoa witu huo kuhusu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu. Rais Kenyatta amesema ana imani kwamba mahakama itamtangaza yeye mshindi halali wa uchaguzi.

Sikiliza sauti 03:08

Ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka Nairobi

             

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com