Mahakama ya Juu Kenya yaamuru kupitiwa mfumo wa matokeo | Media Center | DW | 28.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mahakama ya Juu Kenya yaamuru kupitiwa mfumo wa matokeo

Mahakama ya Juu nchini Kenya yaiamuru Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuvipa nafasi vyama vya Jubilee na NASA kuhakiki mfumo wa kukusanyia matokeo. Upepo mkali na dharuba waendelea kulikumba jimbo la Texas, Marekani, ambako umesababisha mafuriko makubwa, huku idadi ya wakimbizi wa ndani nchini DRC ikifikia milioni 3.8. Papo kwa Papo 28.08.2017.

Tazama vidio 01:53
Sasa moja kwa moja
dakika (0)