1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yasababisha maafa Kenya

John Juma
8 Mei 2018

Maelfu ya Wakenya wamekumbwa na majanga ambayo yamesababishwa na mafuriko. Watu 100 wanahofiwa wamekufa huku wengine zaidi ya 200,000 wakipoteza makazi baada ya nyumba zao kusombwa na mafuriko.

https://p.dw.com/p/2xMrA