Madereva Wahimizwa Kuwa waangalifu | Media Center | DW | 11.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Madereva Wahimizwa Kuwa waangalifu

Ajali za barabarani zaongezeka nchini Kenya. Hapo jana watu 17 waliuwawa baada ya dereva wa basi kushindwa kudhibiti usukani wakati basi hilo likitokea kaunti ya Homa bay kuelekea mjini Nairobi. Madereva wametakiwa kuwa waangalifu zaidi barabarabi. Papo kwa Papo 11.04.2018

Tazama vidio 00:53
Sasa moja kwa moja
dakika (0)