1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machafuko nchini Somalia

23 Juni 2009

Somalia inazidi kuzongwa na vurugu na michafuko, huku wapiganaji wa Kiislamu na wanamgambo wa al-Shabab wakizidi kuuzingira utawala wa huko Mogadishu wa Rais Sheikh Ahmed Shariff.

https://p.dw.com/p/IXjC
Ghasia mjini MogadischuPicha: AP

Serikali hiyo imeomba mataifa ya nje yajiingize ili kuikoa serikali hiyo isianguke. Lakini wapiganaji wa Al-Shabab wamezionya nchi jirani kutofanya hivyo na kwenda umbali kuonya pindi ikijiingiza kijeshi Somalia, basi wapiganaji wa Al-Shabab watashambulia hadi Nairobi.


Othman Miraji alimuuliza balozi Bethuel Kiplagat, aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya katika mzozo wa Somalia na sasa ni mkurugenzi wa Jukwaa la Amani kwa Afrika juu ya vitisho hivyo vya al-Shabab




Mahojiano:Othman Miraji/Balozi Bethuel Kiplagat

Mhariri: M.Abdul-Rahman