1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Mabadiliko katika idara ya jeshi Rwanda yana maana gani?

Lilian Mtono
7 Juni 2023

Nchini Rwanda mijadala imeongezeka kufuatia hatua ya Rais Paul Kagame kufanya mageuzi makubwa katika idara ya jeshi kwa kuwafukuza kazi makamanda wakuu wa vyeo vya jenerali lakini pia akimteua waziri mpya wa ulinzi, mkuu wa majeshi na mkuu wa usalama wa ndani. Kipi kinachoendelea nchini humo? Sikiliza mahojiano kati ya Lilian Mtono na Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/4SJKt