Maafa Dar es Salaam baada ya mto Msimbazi kuhama mkondo wake | Media Center | DW | 11.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maafa Dar es Salaam baada ya mto Msimbazi kuhama mkondo wake

Nyumba kadhaa zimesombwa na maji na nyingine zaidi zikiwa kwenye hatari ya kuporomoka kufuatia Mto Msimbazi kuhama mkondo wake wa asili na kuchana mkondo mwingine katikati ya makaazi ya watu kwenye Mtaa wa Majengo, Vingunguti jijini Dar es Salaam

Tazama vidio 01:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)