1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Luxembourg

Luxembourg ni mmoja ya mataifa madogo zaidi huru barani Ulaya. Ni mmoja ya miji mikuu mitatu rasmi ya Umoja wa Ulaya pamoja na Brussels na Strasbourg.

Luxembourg, rasmi ni Taifa la Kifalme la Luxembourg. Ndiyo makao makuu ya mahakama ya sheria ya Ulaya, ambayo ndiyo mahakama ya juu kabisaa ya sheria ya Umoja wa Ulaya, pamoja na taasisi nyingine kadhaa za EU na mashirika. Nchi hiyo ina lugha tatu rasmi; Kiluxembourg, Kifaransa na Kijerumani. Huu ni mkusanyo wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu Luxembourg.

Onesha makala zaidi