1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Isatta Paasewe awasaidia wanawake kujiendeleza kimaisha

29 Aprili 2016

Msanii wa fesheni Isatta Paasewe anawasaidia wanawake ambao hawakumaliza shule na wanaotaka kujiingiza katika sekta ya mitindo. Issata anapima wakati wake kati ya mafunzo na kazi ili kufufua sekta ya fesheni Liberia.

https://p.dw.com/p/1IfKb
Videostill Africa on the Move Frauenmode
Picha: DW

Isatta Paasewe awasaidia wanawake wa Liberia kujiendeleza kimaisha.