1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini Murathe hamtaki Ruto urais Kenya?

John Juma
7 Januari 2019

Mwenyekiti wa muungano wa Jubilee unaotawala nchini Kenya, David Murathe, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake baada ya ya muda mrefu wa kutafautiana na Makamu wa Rais William Ruto, akisema hapaswi kuwania urais ufikapo mwaka 2022 na kwamba hakuna mkataba katika chama hicho kumuunga mkono Ruto katika uchaguzi mkuu ujao.

https://p.dw.com/p/3B8Lb