1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Fathi Muktar, kapteni wa walinzi wa ufuoni Somaliland

29 Desemba 2021

Kutana na Fathi Muktar, mwanamke wa kwanza kujiunga na kikosi cha walinzi wa ufuoni Somaliland. Licha ya kutoka katika jamii ya kihafidhina na iliyotawaliwa na mfumo dume, ameshapanda vyeo hadi kuwa kapteni.

https://p.dw.com/p/44xoB