Kujiuzulu kwa Hailemariam kwamaanisha nini Afrika? | Matukio ya Afrika | DW | 16.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kujiuzulu kwa Hailemariam kwamaanisha nini Afrika?

Nchini Ethiopia Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn alitangaza uamuzi wa ghafla na wa kushangaza wa kujiuzulu nafasi yake akilalamikia kushindwa kuleta mageuzi ya kidemokrasia na kisiasa anayoyataka.

Sikiliza sauti 02:54
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na mchambuzi Ahmad Rajab

 Mohammed Khelef amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ahmed Rajab, akiwa London, juu ya uamuzi huu na maana yake sio tu kwa siasa za Ethiopia, bali pia kwa kanda nzima ya Pembe ya Afrika.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com