1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MafunzoKenya

Je, serikali ya Kenya inazuia nafasi ya vijana kujieleza?

6 Mei 2026

Katika tamasha za shule nchini Kenya, wanafunzi wamekuwa wakitumia sanaa kuibua mijadala ya kijamii—lakini mwongozo mpya wa serikali unataka kudhibiti maudhui hayo kutokana na kile walichokiita "matumizi mabaya ya wanafunzi". Je, mwongozo huo ni ulinzi wa maadili au ni hatua inayolenga kupunguza nafasi ya vijana kujieleza?

https://p.dw.com/p/5DNLy
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio